-
Ujumbe wa watu 7 ambao ni waangalizi toka Umoja wa nchi za Kiarabu wamewasili nchini Syria
-
Zaidi ya watu 57 wauawa na wengine 154 wamejeruhiwa katika mashambulizi ya mabomu nchini Iraq
-
Watu 23 waripitiwa kuuawa nchini DRC toka uchaguzi uanze hadi kumalizika
-
Sudan Kusini yaituhumu Serikali ya Khartoom kwa kuwatumia raia wake kwenye vita kusini mwa nchi hiyo
-
Serikali nchini Mexico yawafukuza kazi maofisa 800 wa jeshi la polisi kwenye mji wa Veracruz
-
Rais Medvedev ahutubia bunge la nchi hiyo kwa mara ya mwisho
-
13 wafa katika mafuriko jijini Dar es Salaam nchini Tanzania
-
Klabu ya Liverpool yaeleza kutoridhishwa na adhabu aliyopewa mchezaji wake Luis Suarez
-
1 Emission en swahili 2011-12-22
-
1 Emission en swahili 2011-12-22
-
1 Emission en swahili 2011-12-22
-
Matukio ya kisiasa ambayo yaliweza kutikisa kwa mwaka wa 2011