UKWELI AU UONGO
kipindi hiki kipya kinachoangazia kuepusha taarifa za uongo kwenye mitandao ya kijamii, hapa tunakuelimisha juu ya matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii katika kusambaza habari za kweli. RFI Kiswahili imekuletea kipindi hiki kwa ushirikiano na Labenevolensia
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
Vipindi vyote
-
RDC: Raia wa kigeni wamepewa taarifa ya kuondoka Goma: Sio kweli
Mitandao ya kijamii nchini DRC imekuwa ikidai kuwa balozi nyingi za Ulaya ziliwasiliana na raia wake wanaoishi Goma ili kuwarejesha nyumbani kutokana na hali ya usalama.16/02/202410:04 -
Mji wa Ivory Coast wadaiwa kuwa ni eneo la Kisumu nchini Kenya
Mwezi uliopita kuna picha iliibuka mtandaoni ikidai kuonesha mji huo ulio kando ya ziwa ukionekana nadhifu.09/02/202410:00 -
Nigeria: Rais Tinubu amemtetea nabii TB Joshua aliyefariki: Sio kweli
Video iliokarabatiwa ikidai kumuonesha rais wa Nigeria Bola Tinubu akimtetea nabii TB Joshua aliyefariki 202102/02/202410:00 -
Taarifa za kupotosha kuwa Chancel Mbemba ataadhibiwa na CAF
Tumeangazia taarifa inayodai kuwa mchezaji wa timu ya taifa ya DRC Chancel Mbemba ataadhibiwa na CAF baada ya kutokea mvutano kati yake na kocha wa Morocco. Ukweli ni kwamba kwa sasa hakuna adhabu iliotolewa dhidi ya mchezaji huo.26/01/202410:05 -
Video ya zamani inayodai hosipitali jijini Nairobi imefurika kutokana na mvua kubwa
Moja ya habari potofu tunaangazia wiki hii ni video ya hospitali moja nchini Kenya kufurika ikidaiwa ni y a mwaka huu lakini video ni ya mwaka 2019.19/01/202410:16 -
Taarifa za kupotosha kuwa rais Cyril Ramaphosa alizirai na kulazwa
Madai kuwa Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa alizirai na kuanguka na baadaye kulazwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU).12/01/202410:00 -
Vídeo ya kitambo inayosambaa mitandaoni ikisema Kinshasa imelipua soko jijini Kigali
Tuanze kule nchini DRC ambapo Rais Felix Tshisekedi alitangazwa mshindi wa uchaguzi wa mwaka uliopita kwa muhula wa pili.05/01/202410:00 -
DRC: Picha inayosambaa ikionesha wanawake kujiunga na M23 ni uongo
Disemba 26, kurasa za Facebook na X, zilieneza propaganda kuhusu kundi la M23 kwa kuchapisha picha nyingi zikionesha wapiganaji wa kike wakiwa msituni. Picha hizi zilihusishwa na wanawake waliojiunga na vyeo vya juu vya M23.30/12/202310:00 -
Labenevolencija na RFI Kiswahili watoa mafunzo ya habari za kupotosha mitandaoni
Picha inayosambaa mtandaoni ya Moïse Katumbi na rais wa Kenya, William Ruto ikidai kuwa ina uhusiano na kuundwa kwa vuguvugu la Corneille Nangaa wa AFC inapotosha umma.23/12/202310:00 -
DRC: Ni uongo mwenyekiti wa CENI Kadima hajakimbia nchi
Makala ya wiki hii kuhusu habari za kupotosha kwenye mitandao ya kijamii tunafanya muendelezo wa habari nchini DRC.15/12/202309:59 -
DRC: Ripoti za kutekwa kwa mbunge wa Masisi Ayobangira ni uongo
Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo itafanya uchaguzi tarehe 20 mwezi Disemba, na habari za kupotosha zimegubika kipindi cha kampeni za uchaguzi huo.08/12/202310:00 -
Video za kupotosha kuwa roboti za AI zilionekana zikitazama soka ya Marekani
Video inaonyesha waigizaji wakiwa wamevalia mavazi maalum kama sehemu ya kampeni ya utangazaji wa filamu, na sio roboti halisi .01/12/202310:00 -
Picha ya mwaka wa 1994 inasambazwa nchini DRC kudai ni ya sasa
Sasa kuna picha ambayo insambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuoyesha mtoto akilia huku akionekana kumvuta na kumkwamilia mwanamume aliyelala chini ikiwa imeambatanishwa na madai kwamba inaonyesha "mauaji ya kimbari" yanayoendelea kwa sasa nchini DRC.24/11/202310:00 -
Kulikuwepo jaribio la kumuua rais wa mamlaka ya Palestina: Uongo
Tunaangazia taarifa ya uongo kuhusu jaribio la kumuua rais wa mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas.17/11/202310:00 -
Picha za kupotosha kuwa Messi ameshikilia bendera ya Israeli au Palestina
Kuhusiana na vita kati ya Israeli na kundi la Hamas, watu mashuhuri wametoa maoni yao lakini baadhi ya machapisho yanadai kuonesha picha za Lionel Messi akiwa ameshikilia bendera ya Israel au Palestina. Huu ni uongo; picha zote mbili zimebadilishwa.10/11/202310:03
UKWELI AU UONGO
kipindi hiki kipya kinachoangazia kuepusha taarifa za uongo kwenye mitandao ya kijamii, hapa tunakuelimisha juu ya matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii katika kusambaza habari za kweli.
RFI Kiswahili imekuletea kipindi hiki kwa ushirikiano na Labenevolensia