Pata taarifa kuu
Siha Njema

Njaa na bei ya vyakula zinavyoendeelea kuathiri afya za raia

Imechapishwa:

Ukame na kupanda kwa gharama ya bei ya vyakula barani Afrika imeendelea kuathiri pabubwa afya ya raia wengi. Nchi nyingi zinazotegemea kilimo zimeshindwa kupata vyakula kutokana na kukithiri ukame.Mataifa pia yanayokumbwa na machafuko ni miongoni mwa mataifa yanayoshuhudia njaa na kuongezeka wagonjwa wenye tatizo la utapiamlo.Umoja wa Afrika umesema kuna watu karibu milioni 20 eneo la Pembe ya Afrika na Afrika mashariki walio na njaa

Watoto na wanawake ndio idadi kubwa ya waathirika wa utapiamlo wanaofika hospitali
Watoto na wanawake ndio idadi kubwa ya waathirika wa utapiamlo wanaofika hospitali LIONEL HEALING / AFP
Vipindi vingine
  • 09:32
  • 10:09
  • 10:14
  • 10:20
  • 08:40
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.