Pata taarifa kuu
Siha Njema

Kutokuwepo na Usawa na huduma za afya barani Afrika

Imechapishwa:

Makala haya yanaangazia namna ukosefu wa usawa kati ya maskini na utajiri umeendelea kuathiri huduma muhimu kwenye mataifa yanayoendelea. Shirika la OXFAM kwenye ripoti yake hivi majuzi imezema kuwa kutokana na janga la Corona ,watu matajiri waliongeza utajiri wao zaidi huku maskini wakizama zaidi.

Mtaalam kutoka shirika la oxfam nchini Kenya.
Mtaalam kutoka shirika la oxfam nchini Kenya. © Carol Korir
Vipindi vingine
  • 09:32
  • 10:09
  • 10:14
  • 10:20
  • 08:40
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.