Pata taarifa kuu
Siha Njema

Athari ya njaa kwa afya ya binadamu

Imechapishwa:

Katika Makala haya ,tunaangazia jinsi ambavyo baa la njaa limeathiri afya za raia wengi wa Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika.Shirika la misaada la OXFAM linasema kuna zaidi ya watu millioni 15 katika mataifa hayo ambao hawana chakula kutokana na ukame na  athari za janga la Corona kwenye chumi za taifa.

Raia wa Sudani Kusini wakabiliwa na baa la njaa,
Raia wa Sudani Kusini wakabiliwa na baa la njaa, REUTERS/James Akena
Vipindi vingine
  • 09:32
  • 10:09
  • 10:14
  • 10:20
  • 08:40
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.