Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

M23 walibaka na kuua Kishishe DRC yasema Amnesty international, Watu 41 elfu wafa Uturuki

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia kuanzishwa kwa zoezi la usajili wa wapigakura eneo la mashariki ya DRC, masuala ya uchaguzi wa mwaka uliopita nchini Kenya na wadukuzi kutoka Israeli, kuingilia mawasiliano binafsi ya washirika wawili wa rais William Ruto, mkutano wa viongozi wa Afrika huko Addis Ababa Ethiopia, na kufifia kwa matumaini ya kupatikana kwa watu zaidi waliokwama kwenye vifusi katika mitetemeko ya ardhi Uturuki na Syria, pamoja na mambo mengine.

Walionusurika katika mauaji ya Kishishe ni nadra kutoa ushahidi, huku wakazi wakiendelea kufika miji mingine, kama hapa Kanyaruchinya, karibu na Goma, Desemba 5, 2022.
Walionusurika katika mauaji ya Kishishe ni nadra kutoa ushahidi, huku wakazi wakiendelea kufika miji mingine, kama hapa Kanyaruchinya, karibu na Goma, Desemba 5, 2022. AFP - GUERCHOM NDEBO
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.