Habari RFI-Ki
Urusi kujiondoa kwenye mkataba wa kuruhusu usafirishaji wa nafaka kutoka nchini Ukraine
Imechapishwa:
Cheza - 09:46
Siku ya Jumatatu Urusi ilijiondoa kwenye mkataba muhimu wa kuruhusu usafirishaji wa nafaka kutoka nchini Ukraine hadi kwenye masoko ya kimataifa, hatua inayotishia kupanda kwa bei ya bidhaa ya vyakula katika nchi zinazotegemea nafaka kutoka nchini Ukraine.