Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Je, nini kimechangia kuongezeka kwa makundi ya kigaidi barani Afrika?

Imechapishwa:

Wapiganaji wa Al-Shabaab hivi karibuni wameongeza mashambulio, ambapo tukio la hivi punde likiwa nchini Kenya mnamo Juni 25 ambapo watu tano waliuawa, lengo likiwa ni kuishinikiza Nairobi kuwaondoa wanajeshi wake nchini Somalia.

Wapiganaji wa Al-Shabaab mwaka wa 2011
Wapiganaji wa Al-Shabaab mwaka wa 2011 AP - Farah Abdi Warsameh
Matangazo ya kibiashara

Wewe unadhani nini kumesukuma kuendelea kwa mashambulio haya?

Nchini mwako kunashuhudiwa hali kama hii ya mashambulio ya kigaidi?

Somalia inakabiliwa na mashambulio yanayofanywa na wanamgambo wa Al-Shabaab wenye mafungamano na Al-Qaeda ambao wamekuwa wakipigana kuiangusha serikali mjini Mogadishu kwa muongo mmoja.
Somalia inakabiliwa na mashambulio yanayofanywa na wanamgambo wa Al-Shabaab wenye mafungamano na Al-Qaeda ambao wamekuwa wakipigana kuiangusha serikali mjini Mogadishu kwa muongo mmoja. AFP/File
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.