Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta aapa kushikilia chama cha Jubilee

Imechapishwa:

Aliyekuwa rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema hataondoka kwenye ulingo kwa kisiasa kwa sasa ili kukilinda chama cha Jubilee kilichomuweka madarakani. Hatua hii imekuja kutokana na mgawanyiko ndani ya chama hicho baada ya baadhi ya viongozi kutangaza kumuunga mkono rais wa sasa William Ruto. Unazungumzia vipi uamuzi wa rais Kenyatta? Unadhani ni sahihi kwa marais wastaafu kuendelea kujihusisha na siasa, Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka akizungumza na wasikilizaji wetu...

Uhuru Kenyatta, Rais wa zamani wa Kenya na mwezeshaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, akihutubia wajumbe wanaosimamia mchakato wa amani katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, jijini Nairobi, Kenya, Desemba 5 2022.
Uhuru Kenyatta, Rais wa zamani wa Kenya na mwezeshaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, akihutubia wajumbe wanaosimamia mchakato wa amani katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, jijini Nairobi, Kenya, Desemba 5 2022. REUTERS - MONICAH MWANGI
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.