Habari RFI-Ki
Viongozi wa kijeshi huko Kivu kaskazini wahoji kuhusu utendakazi wa EAC
Imechapishwa:
Cheza - 09:56
Mwishoni mwa juma lililopita gavana wa Kivu Kaskazini Luteni jenerali Constant Ndima, alisema licha ya waasi wa M23 kutangaza kusitisha mapigano, bado waasi hao hawajaondoka katika maeneo waliokuwa wakiyadhibiti na kuhoji kuhusu utendakazi wa vikosi vya EAC. Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kusikiliza maoni ya wasikilizaji wetu