Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Maandamano yamesitishwa nchini Kenya

Imechapishwa:

Nchini Kenya, rais William Ruto, ameitisha mazungumzo na upinzani baada ya maandamano ambayo yamesabisha uharibifu mkubwa wa mali.Rais Ruto katika wito wake ameutaka upinzani kusitisha maandamani ili kutoka nafasi ya majadiliano.

Waziri mkuu wa zamani wa Kenya na kiongozi wa upinzani Raila Odinga (kushoto) na rais William Ruto (kulia).
Waziri mkuu wa zamani wa Kenya na kiongozi wa upinzani Raila Odinga (kushoto) na rais William Ruto (kulia). AFP - SIMON MAINA
Matangazo ya kibiashara
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga © REUTERS/Monicah Mwangi
Katika hatua nyingine, Kiongozi wa upinzani Raila Odinga, amekubali wito wa rais Ruto, nini maoni yako kuhusu hatua hii, haya hapa baadhi ya maoni yako.

Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.