Kikosi cha Jumuiya ya Afrika mashariki kinachopambana na waasi wa M23 kitaendelea kuwepo
Matangazo ya kibiashara
Taifa la DRC, limekubali kuongeza muda wa kuhudumu kwa wanajeshi wa Jumuiya ya Africa Mashariki nchini humo, wakati huu mauwaji zaidi ya raia yakiendelea kuripotiwa kwa mashariki mwa taifa hilo.
Nini maoni yako kuhusu kinachoendelea mashariki mwa DRC?
Nini kufanyike kukomesha mauwaji haya?