Habari RFI-Ki
Hatuwa ya chuo kikuu cha methodist nchini Kenya kuhusu mavazi ya wanafunzi wa chuo
Imechapishwa:
Cheza - 10:02
Kumeibuka hisia mseto au (Mitazamo tofauti) nchini Kenya, kuhusu Chuo Cha Methodist ambacho sasa kinawataka wanawake kutovaa nguo za kubana au zile zinazoonyesha sehemu za mwili. Tuambie, unadhani hatua hii ni sahihi hasa kwa wanafunzi wa chuo ambao ni watu wa zima ?Ni haki kuhoji watu kuhusu uhuru wa mavazi? Hapo kwenu hali iko je?