Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Uganda yaanza kuteleza sheria tata ya mitandao

Imechapishwa:

Serikali ya Uganda imeanza kutekeleza sheria inayolenga kuwaadhibu raia wanaotumia mitandao kuchapisha uvumi, wanaharakati wakipiga sheria hiyo kwa misingi inalenga kukandamiza uhuru wa watu kujieleza.Je unafikiri ni kweli sheria kama hizi zinazuia uhuru wa raia kutoa maoni?Haya hapa baadhi ya maoni yenu.

Mitandao ya kijamii
Mitandao ya kijamii © Pixabay
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.