Habari RFI-Ki
Kundi la M23 kuendelea kudhibiti miji ya Bunagana na Rutshuru
Imechapishwa:
Cheza - 09:59
Ni Miezi miwili imepita tangu pale mji wa Bunagana nchini DRC ukaliwa na waasi wa M23, mashirika ya kiraia na mamlaka za mitaa huko Rutshuru wanasema wana wasiwasi kwamba waasi hao wanaimarisha uwepo wao katika eneo hili.Je, unadhani serikali imefanya vya kutosha kudhibiti eneo hilo?Unadhani nini Kifanyike?
Matangazo ya kibiashara
Usikosi kumfollow mtangazaji wako Ali bilali kwa instagram kwa kubonyeza hapa @billy_bilali