Habari RFI-Ki
Tume ya uchaguzi nchini Kenya kuchunguza vyeti vya Vyuo vikuu kwa wagombea
Imechapishwa:
Cheza - 10:07
Nchini Kenya, tume ya uchaguzi imewazuia baadhi ya vingozi kuwania nyadhifa mbalimbali za kisiasa kutokana na ukosefu wa vyeti vya vyuo vikuu. Je unadhani uongizi bora unatokana na kiongozi kuwa na cheti ?Hali nchini mwako ipo je ? Kama kawaida wiki hii utakuwa na mtangazaji wako Reuben Lukumbuka, wa RFI Kiswahili.