Uhuru wa Vyombo vya Habari, ikiwa fursa ya kuzikumbusha serikali juu ya haja ya kudumisha dhamira yao ya uhuru wa vyombo vya habari na pia ni siku ya kutafakari kwa wanataaluma wa habari kuhusu masuala yanayohusiana na uhuru wa vyombo vya habari na maadili ya kitaaluma.Je waandishi wa habari wanapashwa kuaminiwa ?Je, hali ya uhuru wa vyombo vya habari katika nchi yako ikoje?
Vipindi vingine
-
Maoni ya waskilizaji kuhusu mafuriko yanayo zikumba nchi za Afrika mashariki
Mafuriko yanashuhudiwa kwenye nchi za Afrika Mashariki, mamia ya watu wakiripotiwa kufariki, nyumba na miundombinu ikiharibiwa.Nchi za Kenya na Tanzania zimeathirika pakubwa na mafuriko haya. Unazungumziaje miakakati inayochukuliwa kuzuia madhara zaidi?Hali ikoje nchini mwako?Unachukua tahadhari zipi binafsi kujilinda?07/05/202410:03 -
10:06
-
10:09
-
Ushirikiano wa Afrika na benki ya Dunia pamoja na masharti magumu ya mikopo
Viongozi wa Afrika wamekutana Nairobi kujadili ushirikiano zaidi na benki ya dunia30/04/202410:00 -
Mafuriko yanavyoendelea kuutesa ukanda wa Afrika Mashariki
Ukanda wa Afrika ya mashariki na Pembe ya Afrika unaendelea kupokea mvua kubwa30/04/202410:13