Habari RFI-Ki
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuunda jopo la kuchunguza hali ya Covid 19
Imechapishwa:
Cheza - 10:12
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ,ametangaza kuundwa jopo kazi kushughulikia swala la Corona nchini humo pamoja na kuondoa vikwazo kwenye baadhi ya vyombo vya habari. Huu ni msimamo tofauti na ule wa mtangulizi wake hayati Johh Magufuli.Je una maoni yapi kuhusu mabadiliko hayo Tanzania ?