Pata taarifa kuu
Afrika Ya Mashariki

Changamoto za usalama barabarani nchini Tanzania

Imechapishwa:

Leo tunaangazia juu ya  changamoto za usalama barabarani nchini Tanzania. Kwa namna ya pekee utawasikia wadau mbalimbali wa vyombo vya moto huko mkoani kagera wakiangazia changamoto walizonazo ikiwezo ukosefu wa mafunzo ya utambuzi wa alama za barabarani lakini pia kutojua sheria za barabarani kwa madereva na abiria. 

Barabara barani Afrika
Barabara barani Afrika PIUS UTOMI EKPEI / AFP
Vipindi vingine
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.