Pata taarifa kuu
Afrika Ya Mashariki

Kupambana na ulanguzi wa binadamu Afrika Mashariki

Imechapishwa:

Leo tunaangazia juu ya mapambano dhidi ya biashara, unyonywaji na usafirishaji binadamu kwenye ukanda wa afrika ya mashariki. Kwa mjibu wa mtaalamu wetu Bi. Winnie Mtevu kutoka Nairobi Kenya, vitendo hivo viovu dhidi ya binadamu vinafanywa ndani na hata nje ya mipaka ya nchi husika,  ikiwa  ni kinyume kabisa na haki za binadamu. 

Maandamano ya kupinga ulanguzi wa binadamu jijini Paris
Maandamano ya kupinga ulanguzi wa binadamu jijini Paris Christina Okello for RFI
Vipindi vingine
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.