Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Taifa la Uganda lakabiliwa na uhaba wa mipira ya kiume maarufu kama condom

Imechapishwa:

Wananchi wa Uganda wanashuhudia uhaba wa mipira ya kiume maarufu kama condom kitu ambacho kimezusha hofu miongoni mwao juu ya kufanyika mapenzi salama ambayo yamekuwa yakichangia na matumizi ya mipira hiyo. Condoms zimekuwa zikitajwa kama miongoni mwa vitu ambavyo vimechangia nchi ya Uganda kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi!!

Aina tofauti za mipira ya kiume maarufu kama condoms zinazotajwa kuadimika nchini Uganda
Aina tofauti za mipira ya kiume maarufu kama condoms zinazotajwa kuadimika nchini Uganda
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.