Habari RFI-Ki
Tume Huru ya Uchaguzi na Ukaguzi wa Mipaka nchini Kenya IEBC yawahakiki wagombea tisa wa Urais kipindi hiki kampenzi zikiendelea kupamba moto
Imechapishwa:
Cheza - 10:03
Tume Huru ya Uchaguzi na Ukaguzi wa Mipaka IEBC imefanya uhakiki wagombea tisa wa urais ambao watachuana kwenye kinyang'anyiro kitakachofanyika tarehe 4 mwezi March huku swali kubwa ni ahadi za wanasiasa hao na kama zitatekelezwa kwa kiwango ambao wamekisema kwenye majukwaa!!