Habari RFI-Ki
Wasikilizaji wa Rfi Kiswahili wakitoa salamu zao za Mwaka Mpya wa 2013 na matarajio waliyonayo
Imechapishwa:
Cheza - 09:55
Wasikilizaji wa Rfi Kiswahili wamepata nafasi adhimu ya kuweza kutuma salamu zao za mwaka mpya wa 2013 na kueleza namna ambavyo wamesherehekea sherehe za kuuaga mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2013 sambamba na matarajio waliyonayo kwa mwaka huu!!