Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Mapigano ya kikabila katika eneo la Tana River nchini Kenya

Imechapishwa:

Mapigano ya kikabila yameendelea kuhatarisha usalama wa eneo la Tana Delta nchini Kenya baada ya kusababisha mauaji ya watu zaidi ya arobaini na watano hivi karibuni. Tukio hilo sio la kwanza kujitokeza katika eneo hilo kati ya makabila hasimu ya Orma ambao ni wafugaji na Pokomo ambao ni wakulima. Karibu katika makala hii ya Habari Rafiki ambapo mwanahabari Reuben Lukumbuka anaangazia hali ya mambo ilivyo katika eneo hilo akizungumza na wasikilizaji wa rfi kiswahili kutoka maeneo mbalimbali.

daytondailynews.com
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.