Afrika Ya Mashariki
Salamu za sikukuu ya Noeli kwa wasikilizaji wa Afrika Mashariki
Imechapishwa:
Cheza - 09:39
Makala ya hii leo inawapa fursa wasikilizaji kutoka katika nchi za Afrika Mashariki kutumiana salamu za sikukuu ya Noeli na kutakiana kila la kheri katika msimu huu wa sikukuu, kwa mengi zaidi karibu ujiunge naye Julian Rubavu.