Pata taarifa kuu
Afrika Ya Mashariki

Wajibikaji wa Idara za Polisi na Mahakama katika kuwashughulikia wauaji wa watu wenye ulemavu wa ngozi albino

Imechapishwa:

Sehemu ya tatu na ya mwisho kuhusu uwajibikaji wa Idara za Polisi na Mahakama kutoa haki na kuwalinda walemavu wa ngozi albino nchini Tanzania na Burundi.Je, wana jamii wanasema nini kuhusu wafungwa wa mauaji ya albino kutoroka gereza lililoko chini ya ulinzi mkali nchini Burundi na wafungwa wa makosa mengine kubaki gerezani?Nchini Tanzania, watuhumiwa wa makosa ya mauaji ya albino wanaachwa huru kwa madai ya  kukosa ushahidi. Je, mauaji ya albino yanashughulikiwa kama ya afisa wa serikali?

Watu wenye ulemavu wa ngozi nchini Burundi ambao wamekuwa wakiishi kwa mashaka kwa kuhofia kuuawa
Watu wenye ulemavu wa ngozi nchini Burundi ambao wamekuwa wakiishi kwa mashaka kwa kuhofia kuuawa AFP/STEPHANE DE SAKUTIN
Vipindi vingine
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.