Pata taarifa kuu
Afrika Ya Mashariki

EAC

Imechapishwa:

Sehemu ya kwanza ya mada juu ya changamoto za kero za raia kuhusu jumuiya ya afrika ya mashariki. Utakisia faida na hasara zinazotajwa na baadhi ya raia walioongea na RFI kutoka maeneo mbalimbali ya nchi wanajumuiya ya afrika ya mashariki. Changamoto hizo ni pamoja na migogoro ya ardhi baina ya mataifa wanajumuiya, migogoro ya mipaka, wahamiaji haramu, vikwazo vya ushuru usio wa lazima na mengine. Juma lijalo msikilizaji utaletewa sehemu ya pili ikiwa muendelezo wa changamoto hizo.

Rais wa Jumuia ya Afrika Mashariki Dr.Richard Sezibera
Rais wa Jumuia ya Afrika Mashariki Dr.Richard Sezibera
Vipindi vingine
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.