Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Serikali ya Kenya imesema haitaondoa majeshi yake nchini Somalia kupambana na Al Shabab

Imechapishwa:

Serikali ya Kenya inasema haitayaondoa majeshi yake nchini Somalia hata baada ya watu 17 kuuawa kwa kupingwa risasi ndani ya makanisa mawili mjini Garrisa Jumapili iliyopita. Je wakenya wanazungumzia vipi mashambulizi haya? Kurudi kwa wanajeshi wa Kenya nyumbani kutamaliza mashambuzli hayo kutoKa kwa Al-Shabab? Kujibu maswali haya ungana na victor Abuso katika Habari Rafiki.

Wanajeshi wa Kenya wakiukagua mwili wa mwanamke ambaye alipoteza maisha katika Mji wa Garissa nchini Kenya
Wanajeshi wa Kenya wakiukagua mwili wa mwanamke ambaye alipoteza maisha katika Mji wa Garissa nchini Kenya
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.