Habari RFI-Ki
Siku ya Walimu Duniani na changamoto zinazowakabili katika eneo la Ukanda wa Afrika Mashariki
Imechapishwa:
Cheza - 09:55
Makala ya Habari Rafiki inazungumzia changamoto wanazokabiliana nazo walimu katika siku kama hii ambapo wanaadhimisha siku ya walimu duniani. Wachambuzi wa mambo ya kijamii wamebaini kiwango cha elimu kimeshuka tofauti na ilivyokuwa katika miaka ya nyuma.