Mkuu wa Tume ya Umoja wa Afrika Mousa Faki, anataka hatua kuchuliwa dhidi ya viongozi wa juu wa Sudan Kusini wanaosababisha kuvunjika kwa mkataba wa amani.Kauli ya Faki, imekuja baada ya waasi nchini Sudan Kusini kuishtumu serikali kuvunja mkataba wa kusitisha mapigano ambao ulianza kutekelezwa siku ya Jumamosi..Unazungumziaje hatua hii?
Vipindi vingine
-
Maoni ya waskilizaji kuhusu mafuriko yanayo zikumba nchi za Afrika mashariki
Mafuriko yanashuhudiwa kwenye nchi za Afrika Mashariki, mamia ya watu wakiripotiwa kufariki, nyumba na miundombinu ikiharibiwa.Nchi za Kenya na Tanzania zimeathirika pakubwa na mafuriko haya. Unazungumziaje miakakati inayochukuliwa kuzuia madhara zaidi?Hali ikoje nchini mwako?Unachukua tahadhari zipi binafsi kujilinda?07/05/202410:03 -
10:06
-
10:09
-
Ushirikiano wa Afrika na benki ya Dunia pamoja na masharti magumu ya mikopo
Viongozi wa Afrika wamekutana Nairobi kujadili ushirikiano zaidi na benki ya dunia30/04/202410:00 -
Mafuriko yanavyoendelea kuutesa ukanda wa Afrika Mashariki
Ukanda wa Afrika ya mashariki na Pembe ya Afrika unaendelea kupokea mvua kubwa30/04/202410:13