Leo, RFI Kiswahili inaadhimisha miaka 6 tangu ilipoanza kukuletea matangazo yake moja kwa moja kutoka jijini Dar es salaam nchini Tanzania.RFI Kiswahili inakuletea Habari za dunia hadi hapo ulipo, Makala mbalimbali na muziki. Tuna wanahabari kutoka ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kuhakikisha kuwa unapata habari za dunia.
Vipindi vingine
-
Maoni ya waskilizaji kuhusu mafuriko yanayo zikumba nchi za Afrika mashariki
Mafuriko yanashuhudiwa kwenye nchi za Afrika Mashariki, mamia ya watu wakiripotiwa kufariki, nyumba na miundombinu ikiharibiwa.Nchi za Kenya na Tanzania zimeathirika pakubwa na mafuriko haya. Unazungumziaje miakakati inayochukuliwa kuzuia madhara zaidi?Hali ikoje nchini mwako?Unachukua tahadhari zipi binafsi kujilinda?07/05/202410:03 -
10:06
-
10:09
-
Ushirikiano wa Afrika na benki ya Dunia pamoja na masharti magumu ya mikopo
Viongozi wa Afrika wamekutana Nairobi kujadili ushirikiano zaidi na benki ya dunia30/04/202410:00 -
Mafuriko yanavyoendelea kuutesa ukanda wa Afrika Mashariki
Ukanda wa Afrika ya mashariki na Pembe ya Afrika unaendelea kupokea mvua kubwa30/04/202410:13