Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Tanzania Imezidua Takwimu za watu wenye Ulemavu

Imechapishwa:

Serikali ya Jamuhuri wa Mungano wa Tanzania kupitia Ofisi ya Taifa ya Takwimu imezindua rasmi matokeo ya Sensa ya Watu wanaosihi na ulemavu nchini.Takwimu hizo zimeonesha mkoa wa mara ndio unaogoza kwa kuwa na watu wengi ambao wa ulemavu,je watu wanaoishi na ulemavu wanazungumziaje twakimu hizo.Kipindi chetu cha habari Rafiki kinatupia jicho juu ya takwimu hizo na mchango wa takwimu hizo katika mipango kazi ya serikali na maendeleo kwa jumla

Des albinos attendent le verdict du procès des responsables de crimes rituels d'albinos, à Ruyigi le 24 juillet 2009.
Des albinos attendent le verdict du procès des responsables de crimes rituels d'albinos, à Ruyigi le 24 juillet 2009. (Photo : Esdras Ndikumana/AFP)
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.