Habari RFI-Ki
Ziara ya Kwanza ya Raisi John Pombe Magufuli Nchini Rwanda
Imechapishwa:
Cheza - 10:34
Rais Tanzania John Magufuli yuko ziarani nchini Rwanda kukutana na mwenyeji wake Paul Kagame.Katika ziara hiyo, marais hao watafungua daraja la Rusumo linalounganisha nchi hizo mbili.Magufuli pia atahudhuria madhimisho ya kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994Kipindi cha Habri Rafiki Kinatupia Jicho Juu ya Ziara hiyo ya kwanza nje ya nchi ya Raisi Magufuli