Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Ajali ya Boti katika ziwa Albert nchini Uganda

Imechapishwa:

Makala haya ya “Habari Rafiki”, inaangazia kuhusu ajali ya boti iliyotokea katika ziwa Albert, nchini Uganda ambapo watu zaidi ya 100 wamepoteza maisha katika ajali hii, iliyotokea usiku wa jumapili kuamkia jumatatu, wengi mwa waliyopoteza maisha ni wakimbizi kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Ungana na Ebby Shabani Abdallah...............................

Askari polisi na wavuvi wa Uganda wakijaribu kuokoa watu katika ziwa Albert, machi 23 mwaka 2014.
Askari polisi na wavuvi wa Uganda wakijaribu kuokoa watu katika ziwa Albert, machi 23 mwaka 2014. AFP/Archives Michele Sibiloni
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.