Habari RFI-Ki
Maoni ya wananchi kuhusu kutotiwa saini mkataba wa amani mjini Kampala
Imechapishwa:
Cheza - 09:12
Mtangazaji wa makala haya, hii leo amezungumza na wananchi wa Afrika Mashariki na kati kutaka kupata maoni yao kuhusu kushindikana kutiwa saini kwa mkataba wa amani kati ya kundi la waasi wa M23 na Serikali ya DRC.