Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Obama amaliza ziara yake nchini Tanzania

Imechapishwa:

Rais wa Marekani Barck Obama amehitimisha ziara ya siku mbili nchini Tanzania siku ya Jumanne, Julai 2, kama sehemu ya ziara yake ya juma zima Barani Afrika iliyoanzia nchini Senegal, Afrika Kusini na hatimaye Tanzania. Makala ya Habari Rafiki inaangazia ziara hiyo na athari zake. Β 

RFI
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.