Habari RFI-Ki
Ukuaji wa Lugha ya kiswahili kwenye ukanda wa Afrika Mashariki
Imechapishwa:
Cheza - 09:23
Mtangazaji wa makala haya hii leo ameangazia namna ambavyo kiswahili kinavyokua miongoni mwa nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki na changamoto ambazo zimekuwa zikiikabili lugha hiyo.