Afrika Ya Mashariki
Mzozo wa umiliki wa kisiwa cha Migingo kati ya Kenya na Uganda
Imechapishwa:
Cheza - 09:25
Makala ya Afrika ya Mashariki yanaangazia mzozo wa umiliki wa kisiwa chenye utajiri mkubwa wa samaki cha Migingo katika ziwa Victoria kati ya Kenya na Uganda.Ungana na Julian Rubavu kwa mengi zaidi.