Afrika Ya Mashariki
Mahusiano baina ya wawekezaji kwenye mgodi wa North Mara na wananchi wa Tarime nchini Tanzania
Imechapishwa:
Cheza - 08:19
Makala hii ya Afrika Mashariki leo inaangazia kuhusu mahusiano yaliopo baina ya wachimba mgodi na wananchi wa Mara nchini Tanzania