Habari RFI-Ki
Uhuru wa vyombo vya habari katika kanda ya Afrika Mashariki na Kati
Imechapishwa:
Cheza - 09:53
Habari Rafiki inaangazia uhuru wa vyombo vya habari katika mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, hasa vikwazo wanavyokumbana navyo wanahabari kutoka Uganda.Jiunge na msimulizi wa makala haya Reuben Lukumbuka