Habari RFI-Ki
Nini suluhisho la mgomo wa madaktari na wauguzi Afrika mashariki
Imechapishwa:
Cheza - 10:10
Mtangazaji wa makala hii, hii leo ameangazia changamoto ambazo zinaikabili sekta ya afya hapa Afrika Mashariki ambapo migomo ya wauguzi wa afya imeendelea kushika kasi kwa wafanyakzi hao kudai maslahi bora na mazingira mazuri ya kazi.