Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Nini suluhu ya mgogoro wa Syria?

Imechapishwa:

Ni karibu mwaka sasa tangu maandamano ya wapinzani nchini Syria yalipoanza dhidi ya serikali ya rais Bashar Al Asaad.Umoja wa mataifa unasema kati ya waandamanaji elfu nane na elfu kumi na moja wameuawa baada ya kushambuliwa na majeshi ya serikali.Jumuioya ya kimataifa bado haijapata suluhu Victor Abuso anaagazia zaidi katika habari rafiki.

Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.