Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Mgomo wa wanaume nchini Kenya kwa wake zao

Imechapishwa:

Makala haya ya Habari Rafiki leo yanazungumzia kuhusu hatuwa ya mwenyekiti wa chama cha maendeleo ya akinababa wa huko Nyeri nchini Kenya kutangaza kuanza kampeni ya kuhamasisha mgomo kwa wanaume kutokula majumbani kwa lengo la kukomesha tabia ya wake zao kuwapiga na kuwanyanyasa.

Nderitu Njoka, mwenyekiti wa chama cha wanaume akimfariji baba aliyepigwa na ..
Nderitu Njoka, mwenyekiti wa chama cha wanaume akimfariji baba aliyepigwa na ..
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.