Pata taarifa kuu
Afrika Ya Mashariki

Virunga milima iliyojaa vivutio

Imechapishwa:

Makala ya Afrika ya Mashariki leo inaangazia maajabu na vivutio vya Milima ya Virunga inayounganisha nchi za Uganda, Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.Mtayarishaji na msimulizi wa makala haya leo atakusafirisha mpaka katika milima hiyo iliyojaa vivutio.Zaidi fuatilia makala haya yaliyotayarishwa na Julian Rubavu...........

Makala ya Afrika Mashariki, ni moja ya Makala ambayo inakukusanyia matukio na mambo mbalimbali yanayojiri kwenye ukanda, na inaruka kila siku za Jumanne jioni saa 12:20 na marudio Jumatano asubuhu saa 1:46.
Makala ya Afrika Mashariki, ni moja ya Makala ambayo inakukusanyia matukio na mambo mbalimbali yanayojiri kwenye ukanda, na inaruka kila siku za Jumanne jioni saa 12:20 na marudio Jumatano asubuhu saa 1:46. © EAC.int
Vipindi vingine
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.