Habari RFI-Ki
Toleo jipya la jarida la Charlie Hebdo na kibonzo kipya cha Mtume Muhammad
Imechapishwa:
Cheza - 10:08
Katika makala haya tunaangazia hatua ya Jarida la Charlie Hebdo kuchapisha tena kibonzo kikimwonesha Mtume Muhammad akiwa amebeba bango lenye ujumbe " Je suis Charlie" ikimaanisha mimi ni Charlie, sikiliza maoni ya wasikilizaji kuhusu toleo hilo jipya.