Habari RFI-Ki
Maafa ya uvutaji wa sigara duniani-Watu Milioni 6 hufa kila mwaka kulingana na shirika la afya WHO
Imechapishwa:
Cheza - 08:56
Zaidi ya watu Milioni 6 hufa kila mwaka kutokana na uvutaji wa sigara duniani kulingana na takwimu za shirika la afya duniani WHO.Je, kiwango hicho kinaongezeka?Sikiliza Habari Rafiki na Reuben Lukumbuka