Pata taarifa kuu
Siha Njema

Sehemu ya Pili:Fahamu Athari za kiafya zitokanazo Mimba za Utotoni

Imechapishwa:

Nchi ya Uganda na Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo hutajwa kuongoza kwa mimba na ndoa za utotoni, hii ni kwa mujibu wa moja ya Shirika la Haki za Binadamu duniani.Licha ya kuwepo na jitianda mbali mbali katika nchi za afrika Mashariki na Kati  za kupambana na ndoa za utotoni,lakini bado tatizo hilo limendelea kushamiri katika jamii zetu,hali ambayo imesababisha wanaharakati ya Afya na haki za binadamu kulalamikia mfumo mzima wa kusimamia sheria kwa kutowachukulia hatua kali za kisheria watu wanaobainika kuwasababishia mimba watoto 

Mimba za Utotoni
Mimba za Utotoni AFP PHOTO / Gwenn Dubourthoumieu
Vipindi vingine
  • 09:32
  • 10:09
  • 10:14
  • 10:20
  • 08:40
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.