Pata taarifa kuu
Siha Njema

Huduma ya chanjo nchini Tanzania

Imechapishwa:

Tanzania ilikuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa Kimataifa unaohusu kuokoa maisha ya watoto wenye umri chini ya miaka mitano kupitia chanjo katika nchi zinazoendelea duniani.Makala ya Siha Njema imeangazia huduma ya chanjo katika vituo vya afya na changamoto zinazowakabili akimama pale wanapokwenda kupata huduma hiyo.Ungana na Ebby Shaban Abdala kwa mengi zaidi.

Vipindi vingine
  • 09:32
  • 10:09
  • 10:14
  • 10:20
  • 08:40
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.