Pata taarifa kuu
Siha Njema

Malaria bado tishio Afrika

Imechapishwa:

Leo katika makala ya Siha Njema tutaangazia ugonjwa wa Malaria unavyotishia maisha ya watu wa Bara la Afrika.Pamoja na jitihada zinazofanywa katika kukabiliana na ugonjwa wa Malaria barani Afrika bado hali ni tete. Kwa kufuatilia kwa kina suala hili ungana na mtayarishaji na msimulizi wa makala haya Ebby Shaban Abdalah.................

Makala ya afya
Makala ya afya © RFI_Kiswahili/Vital MUGISHO
Vipindi vingine
  • 09:32
  • 10:09
  • 10:14
  • 10:20
  • 08:40
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.