Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Machafuko yanayoshuhudiwa katika nchi ya Jamuhuri ya Afrika ya Kati

Imechapishwa:

Kwa miezi kadhaa sasa nchi ya Jamuhuri ya Afrika ya kati inashuhudia machafuko,waasi wakijaribu kuingia mji mkuu bangii kuipindua serikali ya rais Foustin Archange Toudera aliyechaguliwa tena mwaka uliopita.Msikilizaje unazungumziaje kinachotokea nchi ya jamuhuri ya Afrika ya Kati?Nini kifanyike kumaliza mzozo unaondelea?

Walinda amani wa Umoja wa mataifa nchini Jamuhuri ya Afrika ya Kati
Walinda amani wa Umoja wa mataifa nchini Jamuhuri ya Afrika ya Kati REUTERS/Antoine Rolland
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.